3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
KODI 550,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA SANA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA MNO
PUBLIC TOILET
STORE
JIKO KUBWA LA MAKABATI
UMBALI DAKIKA 8 KWA MGUU
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
BARABARA MKEKA
MAJI YANA TILILIKA NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027