3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(600,000X6)KIMARA KOROGWE DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD (STANDALONE)
——
NYUMBA KUBWA SANA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA WAPANGAJI 2 TU HII NDIO NYUMBA KUBWA INAPANGISHWA #BEI 600K
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 NI MASTER 
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI 
#STORE 
#DINING 
#PUBLIC TOILET 
#MAKABATI VYUMBANI KOTE
#PAVING BLOCKS NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA 
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE 
#MAJI DAWASA NDANI 
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8 - 10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI 
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA600
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
07162223412
0618976024




















