3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 VYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA INAPANGISHWA – KIMARA, KOROGWE
📍 Kimara, Korogwe
⏰ Kutoka Stand ya Mwendo Kasi km 1.5 | Bajaji 500 | Daladala za mnazi mmoja 600 Bodaboda 1000 tu. ( mpaka getini)
#SIFA_ZAKE
🔹 Vyumba Vitatu vya kulala (2 Master)
🔹 Sebule kubwa
🔹 Jiko
🔹 Dining
🔹 Public Toilet
🔹 Umeme & Maji (Inajitegemea)
🔹 Fenced & Parking (Gari kubwa)
🔹 A/C: Nzuri ya kisasa
👉Hii nyumba kubwa inajitegemea kwenye fensi yenyewe.
Gharama
🔸 Kodi: Tsh 600,000/= × 6 (Miezi Sita)
🔸 Malipo ya Dalali: Roony Tsh 600,000/=
🔸 Service Charge: Tsh 20,000/=
#Piga_Simu👇
📞 0740 747 383
& WhatsApp
#FollowUsWhatsApp



















