3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Kinyerezi Shule. (Stand Alone).
Nyumba ya vyumba vitatu (kimoja master), sebule kubwa, dinning, jiko lenye makabati, public toilet n.k
Kutoka kituoni dakika 10 au boda 1000.
Gari linafika bila shida njia nzuri.
Kodi 350,000/= MIEZI SITA.
Muhitaji piga 0688 412 890.