3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


π‘ NYUMBA MPYA KUPANGISHA β KINYEREZI GARAGE
(Ipo pekee ndani ya fence β faragha & salama π)
β¨ Vyumba 3 (2 master)
β¨ Sebule + Dining
β¨ Jiko (makabati yanawekwa)
β¨ Choo cha wageni
β¨ Maji 24/7 + tangi kubwa π§
β¨ Parking kubwa + paving mpya π
β¨ Mtaa mzuri sana π
π° Kodi: 450K/mwezi (Lipa miezi 6)
π€ Udalali: 450K tu
Iko tayari kuingia leo! π₯
π Piga/WhatsApp: 0688 412 890
Karibu uangalie! πͺβ¨


















