3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Shule.
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Dinning
- Public toilet
- Water reserve tank
- Maji unajitegemea
- Umeme unajitegemea
- Paving
- Parking
- Fence
- Mtaa mzuri
Kodi 500,000/=.
Muhitaji piga 0688412890.