3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi Njia Ya Airport. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Mafeni
- Kisima pump maji 24/7
- Paving
- Parking
Kodi 700,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.