3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa Kinyerezi Mwisho. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- A/C
- Parking
- Paving
- Electric fence
Kodi 800,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.