3 Bedrooms House for Rent at Kunduchi, Dar Es Salaam


Villa Mpya Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Kunduchi Jeshini
Bei: 1,000,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Zipo 2, Kila Mmoja Ana Geti Lake
☑️Vyumba 3, Kimoja Ni Master
☑️Sebule Jiko & Choo
☑️Fensi Ya Umeme & Parking Ya Kutosha
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Ful Ac, Heater, Remote Gate, Cctv Camera
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterMijengo #DalaliMasterTz