3 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam







#MPYA #MPYA #STAND_ALONE KUBWA INAPANGISHWA MADALE USALAMA
SIFA ZAKE
#VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA,
#VYUMBA VIWILI NI SELF,
#SEBULE KUBWA,
#DINING KUBWA,
#JIKO KUBWA LA KISASA,
#PUBLIC TOILET,
#CHUMBA CHA IBADA/KUJISOMEA,
#UMEME NA MAJI MITA INAJITEGEMEA,
#FINISHING YAKE ITAKUA KUBWA,
#IKIWEMO PARVING BLOCK,GARDEN,
#AIR CONDTION(AC),
#FENSI NA PARKING NI KUBWA SANA.
LOCATION NI #MADALE_USALAMA ,1.5KM TOKA BARABARA YA LAMI,BODA BUKU,NJIA YA GARI NI RAFIKI SANA.
#KODI 800,000 X 6
#SERVICE_CHARGES 20K KUONYESHWA NYUMBA AU KODI YA MWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA.
#NOTE:NYUMBA HII KUBWA YA KIFAMILIA ITAKUA TAYARI KUHAMIA TRH 01/11/25,KUONA NA KULIPA RUKSA.
SIMU
+255 677445508