3 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro







HII NI KWA WALE WANAOISHI KWA BAJECTI
HII NYUMBA KUBWA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA INAPANGISHWA IPO PEKE YAKE HAPA
KODI LAKI MBILI NA ISHIRINI (220K X6)
SIFA ZAKE
#VYUMBA VITATU VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE
#DINNING
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
FLOW NYEKUNDU GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM HAINA FENSI ILA MAZINGILA MAZULI SANA
N.B NYUMBA HII NDUGU MTEJA UKILIPIA INAPIGWA RANGI NJE NA NDANI INAKUWA MPYA
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347