3 Bedrooms House for Rent at Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa ni stand alone house bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala chamazi magengeni, ina rooms 3 vyakulala, sitting room, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, mafeni juu panga boy yapo, tiliz, madilisha vioo, paving blocks chini zpo, maji yapo yanatoka kuanzia jikoni hadi vyooni, na fensi ya parking ipo pia. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 8 ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.