3 Bedrooms House for Rent at Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa ni stand alone house, bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala mbande kisewe location kwadarueshi, ina rooms 3 vyakulala, sitting room, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, store, tiliz, madilisha vioo, fensi ya parking ipo pia, paving blocks chini zpo, unajitegemea kuanzia fensi, umeme luku yk pamoja na maji pia yapo kuna kisima ndani. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 10 ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.