3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location mbezi mwisho nyuma ya stand mabasi
Kodi 600000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 3 moja ni master bedroom
Sitting room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















