3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







800000 ×6: STAND ALONE NZURI KUBWA SANA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA WAPO NI MASTER SEBULE DAINN NA JIKO
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA NDANI YA FENCE LOCATION MBEZI KWA MSUGURI UMBALI DAKI 4 TOKA MOROGORO ROAD KWA MIGUU
PIA USAFIRI UPO WAKUTOSHA
PIKIPIKI 🏍️1000
KODI 800000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747