3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT 3 ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI DK12 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=×5
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
-----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
------------
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏