3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







TEMBEA NA PESA KABISA USIIKOSE HII NYUMBA
MPYAA KABISA
NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI 
 STAND ALONE YA NGUVU MAZINGIRA TULIVU
===
VYUMBA VITATU VIKUBWA SANA KIMOJA NI MASTER BEDROOM 
SEBULE KUBWA DINNING  STORE  JIKO NA CHOO CHA FAMILIA 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
NYUMBA IPO MBEZI MAGUFULI STENDI YA MKOA
UMBALI KUTOKA STENDI NI KM. 1,5
PKPK. 1000/=
===
KODI. 600,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI. 600,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363




















