3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







🇹🇿HII SIYO YAKUKOSA KABISA STAND ALONE YA NGUVU INAPANGISHWA
Location: MBEZI KWA MSUGURI
KODI 500,000 Ă— 6
NYUMBA KUBWA
INAYO JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA
SIFA ZAKE
📍VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
📍SEBULE KUBWA SANA
📍DINNINGI ROOM
📍JIKO SAFI LA KISASA LINAWEKWA MAKABATI
📍PUBLIC TOILET NZURI
📍STORE KUBWA
📍UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
📍MAJI YANAFLOW JIKONI Na VYOONI 24HRS
📍RESERVE TANK
📍GOOD ENVIRONMENT 👍
NYUMBA MPYA MPYA KABISA
UWANJANI POTE PAMEMWAGWA ZEGE LAFU KUZUNGUKA NYUMBA
KUTOKA MOROGORO ROOD KM 2
BARABARA SAFI LAMI YA ZEGE
USAFILI UPO WA BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 3
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp