3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







500,000 x6 MBEZI MWISHO 
STAND ALONE KUBWA SANA YA FAMILIA 
INAPANGISHWA MBEZI MWISHO UMBALI WA DK 7 MPK 10 KWA MIGUU 
PIKPK 1000 MPK GETINI NJIA NZURI..
KWA WALE WAVIVU WA KUTEMBEAAAAA...
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom 
Seble Kubwa
Jiko kubwa linafungwa makabati 
Public toilet 
Maji Ndani
Luku yako
Tiles 
Gypsum 
Parking space kubwa sana 
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=×6
(kuhusu  miezi fika kweny nyumba)
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
Piga simu #0625606710



















