3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NIMEISHUSHA BEI...NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAPANGISHWA NA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI
π₯ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING
BEI NI 400k X 6
ILIPWE laki nne KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
πΉπΏ NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 1 UPO KWENYE NYUMBA
π€NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
#SERVICER_CHARGER_15000
#0785889413ππππ‘π _π΄πππ²π²
#0785889413