3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI MWISHO KM1.5 KUTOKA LAMI
---------
Vyumba 3 vya kulala 2 master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Full air condition
Luku yako
Garden safi
Full security
Heater ya maji moto maji baridi
Kuna servant corter ya chumba kimjoa
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 600,000/=Γ6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
-----------
Contact
π#0676_218580(WhatsApp)
π#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA πΉπΏ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENTπΉπΏ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π