3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(250,000X4)MBEZI LUGURUNI 2.5KM BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA MPYAA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI YA YA WAYA INAPANGISHWA
LOCATION MBEZI MWISHO LUGULUNI KWEMBE
KODI 250,000X4 au 230.000X6
UMBALI KM 2
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000
SIFA YA NYUMBA
NI VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA NA DINNING JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI MASAA 24 NA TANK LA LIZEVU
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE ELF 15
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
CONTACT US:-
0716223412
0618976024