3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI DK12 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 450,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4.5
--------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏



















