3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 600000 K X5
APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO
KUTOKA BARABARANI MITA 700 HADI KWENYE NYUMBA
BODA BODA 1000
KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 10
KWENYE FENSI ZIPO
NYUMBA MBILI 2
SIFA YA NYUMBA INAVYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
CHOO CHA PABILIKI
KODI 600000 K X5
UMEME MAJI KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
BARABARA NZURI INAFIKIKA MUDA HOHOTE
0713320608
0686334182