3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
#BEI NI 300,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#KUNA RESERVE TANK
#PARKING
#BEI NI 300,000/= X 6
💫💫 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO #KIMARA_SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0719-092747
0683-387747
0765.-494343