3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA KM1 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-----
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu.
-------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏



















