3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#
INAPANGISHWA #STAND_ALONE#
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI
KODI TSHS ML 2,000,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
IKO PEKE YAKE KWENYE FENSI
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA
______
YENYE:
Vyumba vitatu vya kulala, # master Sebule Ac dinning # Jiko, # Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks
Fenced house
Garden
____________
Nione
Call/whatsp
0692406639
Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA
🙏