3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


STAND ALONE FOR RENT,NYUMBA YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA
LOCATION:MBEZI MAKABE(TABATA)
BAJAJI:1000
KODI YAKE:200,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 6
SIFA YA NYUMBA
🥕VYUMBA VITATU VIWILI MASTER
🥕SEBURE KUBWA
🥕DINNING
🥕JIKO LENYE MAKABATI
🥕TOILET PUBLIC
❌HAKUNA FENCE❌
🥕PARKING KUBWA
CONTACT
0782428327