3 Bedrooms House for Rent at Mkwajuni, Songwe







INAPANGISHWA IPO MATOSA (MKWAJUNI) UKISHUKA BAJAJI AU DALADALA ZA KIMARA UNATEMBEA DK 6
HII NYUMBA UNAWEZA KUPITIA KIMARA AU TEMBONI KOTE USAFIRI UPO WAKUTOSHA
MUUNDO WAKE
VYUMBA VITATU VYAKULALA KIMOJA MASTAR INASEBULE KUBWA NA DINNG INAJIKO NA PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPSAM ALUMINIUM
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
NDANI YA FENSI NYUMBA MBILI
KODI 350 X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
PIA UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343