3 Bedrooms House for Rent at Msasani, Dar Es Salaam


🏠 NYUMBA INAPANGISHWA – MSASANI
Features:
🛏 Vyumba 3 vya kulala
🛋 Sebule kubwa na safi
🍳 Jiko la kisasa
🚻 Choo cha public
Amenities:
💧 Huduma za maji zipo
⚡ Umeme umeunganishwa
🅿 Parking ipo
🔒 Mazingira salama na tulivu
💰 Kodi: 1,500,000/= kwa mwezi
🗓 Malipo: Kuanzia mwezi mmoja na kuendelea
📞 Mawasiliano: 0678 512 666
💵 Service charge na agent commission zipo