3 Bedrooms House for Rent at Nyakato, Mwanza


NYUMBA MPYA INAPANGISHWA NYAKATO- NATIONAL
-ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-umeme na maji unajitegemea
-kodi 600,000 kwa mwezi
-malipo ni miezi sita
-familia 2 ndani ya fensi moja
-nyumba iko karibu na barabara ya lami
☎️ 0743220097