3 Bedrooms House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI)
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (KIMOJA MASTER) VYUMBA VYOTE VINA FENI, PIA INA SEBULE NA JIKO. NNJE KUNA PAVING, ELECTRIC WIRED FENS ⚡️, MAJI YAPO MASAA 24 INATENKI MAJI DAWASA NA UMEME UNAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI.
KODI 250000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 3.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.
#realestate #inapangishwa #daressalaamrealestate #dalalipugu