3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Baracuda.
Zipo mbili ndani ya fence.
1. YA VYUMBA VIWILI
Ina vyumba viwili (kimoja master), sebule, jiko lenye makabati, vyumbani kuna makabati ya nguo, public toilet, water heater jikoni na bafuni, A/C anaweka kote, paving, parking, electric fence, unajitegemea maji na umeme, dakika 1 kutoka kituoni. Kodi 600,000/=.
2. YA VYUMBA VITATU
Ina vyumba vitatu (viwili master), sebule, jiko lenye makabati, vyumbani kuna makabati ya nguo, public toilet, water heater jikoni na baguni, A/C anaweka kote, paving, parking, electric fence, unajitegemea maji na umeme, dakika 1 kutoka kituoni. Kodi 800,000/=.
ZIPO HATIA ZA MWISHO.
FANYA BOOKING MAPEMA.
MUHITAJI PIGA 0688 412 890.