3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Shell Kazimoto.
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Parking
- Wapangaji wawili
- Dakika 3 kutoka kituoni
Kodi 400,000/=.
๐ 0688 412 890.