3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa sh 400000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6, ina vyumba 3 chumba kimojawapo master, sebule, jiko lenye makabati, public toilet, bafu, sebule, dining, 2 Air conditioner, peving block, fence, reserve water tank, store,
Location tabata kinyerezi mbuyuni round about dar es salaam Tanzania
Kutembea kwa mguu dakika 3-5
#Ghalama ya kuanzia kuonyeshwa nyumba kuanzia moja na kuendelea sh 20000
#Bila kusahau pesa ya dalali mchina endapo ulipapo nyumba
Muhitaji piga sim
Calls/Whatsapp 0653233641
0768682919
Tembelea kulasa zangu kuona kazi nyingi zaidi follow dalali mchina tabata kinyerezi istagram, Facebook & tik tok, napatikana tabata kinyerezi mbuyuni round about dar es salaam Tanzania