3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


(Stand alone) Nyumba ya peke ake ndani ya fence inapangishwa sh 300000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6, location tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam Tanzania
#Mteja changamuka tembea na pesa mfuko wa shati
Sifa ya nyumba
#sitting
#3 bedrooms & 1 self contained
#kitchen
#Public toilet
#Umeme na maji unajitegemea
#1 car parking
#peving block
#Fence
#Kutembea kwa mguu dakika 6-8
#Reserve water tank
#Nyumba ni ya peke ake ndani ya fence
Muhitaji piga sim
Calls/Whatsapp 0653233641
0768682919
Note:
Service survey change tsh 20000
Agent commission for one month apply
Follow me dalali mchina tabata kinyerezi istagram, Facebook & tik tok, napatikana tabata kinyerezi mbuyuni round about dar es salaam Tanzania