3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Chama. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Vyumba vyote vina makabati ya nguo
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Store
- Public toilet
- Paving
- Parking
- Car shed
- Dakika 5 kutoka kituoni
UKARABATI ANAFANYA IKIWEMO KURUDIA RANGI PAMOJA NA MAKABATI YA JIKONI KUBADIKISHA.
KAHAMA MWENYE NYUMBA MWENYEWE. HANA SHIDA KABISA.
Kodi 600,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.