3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA YA KUPANGA β TABATA SEGEREA KWA BIBI!
(Peke yake ndani ya fence β faragha kamili!)
π‘ Vipengee:
- Vyumba 3 (1 master)
- Sebule + Dining
- Jiko la kisasa
- Water heater & A/C (anaweka)
- Choo cha umma
- Maji 24/7
- π Dakika 1 tu kutoka kituoni!
π° Kodi: TZS 800,000/= (miezi 6)
πΈ Udalali: Sawa na mwezi 1
π Service Charge: 20,000/=
π Piga sasa: 0688 412 890
π Ofisi: Tabata Segerea Mwisho Stendi
Fursa ya pekee β usikose!


















