3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho Stendi. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (viwili master)
- Vyumba vina makabati
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Store
- Public toilet
- Garage
- Parking
- Fence
- Dakika 8 kutoka kituoni
*UKARABATI ANAFANYA*
Kodi 500,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.