3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Dalal ubungo kibanguu
NYUMBA KALI YA KISASA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STEND ALONE MBEZI MWISHO DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI. UKANYAGI TOPE LAMI SAFI
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Master kubwa sana
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina wekwa makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
0677445508



















