3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


๐ฏ๏ธ STAND ALONE KUBWA, Inapangishwa, UBUNGO EXTERNAL
๐ Kodi 1,500,000/= ร6
๐ Inafaa kwa matumizi ya Ofisi na Makazi pia
________
___
#Nyumba Inagusa ipo karibu na barabara ya Lami
โข Vyumba 3 vya kulala (Kimojawapo ni Master)
โข Sebule
โข Jiko kubwa lenye Makabati
โข Public toilet ndani
* Inajitegemea Fensi
* Heater ya Maji ya Moto
* Parking
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Maji ya DAWASA yanatoka Ndani
_________
๐ *MUHIMU SANA*
#Malipo Ya Dalali Nasoni ni 1,500,000/=
#Kupelekwa kuona 15,000/=
โ:- 0753172516