3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







NYUMBA MPYA INAPANGISHWA UBUNGO RIVERSIDE
STAND ALONE
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI
Master bedroom
Sebule
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku & Maji yana flow ndani
Gypsum & aluminum
Fenci inajengwa Baada ya siku 7 itakuwa tayari
Parking yakutosha
Kuona na kusubili ni ruksa
Kodi 600,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Service charge 20,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0684221354
Mr.