3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







0679 997610 
#STAND_ALONE_INAJITEGEMEA_YENYEWE_KWENYE_FENSI_YA_SENYENGE
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA  SANA
#KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING YA CHAKULA KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET NDANI
#STORE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI 
#FULL TILLES 
#GYPSUM
#ALLUMINIUM SLIDE WINDOWS
#MAZINGIRA MAZURI SANA 
#NYUMBA IPO NDANI YA FENSI YA SENYENGE PARKING IPO KUBWA SANA
#LOCATION #UBUNGO_MAKOKA
#USAFIRI BAJAJ KUTOKEA UBUNGO RIVERSIDE AU KIMARA KOROGWE MWENDOKASI 
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI
#NOTE : KUJA KUONA NYUMBA NI SHINGI ELFU 20 MPAKA UPATE NYUMBA
#SERVICER_CHARGER_20,000




















