3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Kodi 800,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
LOCATION UBUNGO EXTERNAL NJIA YA MAJI CHUMVI
STAND ALONE NYUMBA YA FAMILY INAYO JITEGEMEA KWENYE FENCI
VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
DAINING KUBWA
JIKO KUBWA FULL MAKABATI
TOILET BUPLICE NDANI
PIA KUNA NYUMBA YA NNJE
CHUMBA MASTER BEDROOM & SEBULE
SIFA ZAKE
TYRIES GPYSAMU DILISHA ALUMINIAMU UMEME MITA YAKO MAJI YANA FROO NDANI NYUMBA IKO KWENYE FENCI PAVING BLOCK PARKING KUBWA HEATER YA MAJI
BALABALA RAFIKI KWA GARI ZOTE
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 5 KWA MGUU
KODI SH.800,000/= MALIPO MIEZI X6
KUONA NYUMBA SH.20,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.