3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







#0742260844_#0657384670
HII NI NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAUZWA (85 MILIONI) MAONGEZI KIDOGO
UKUBWA WA ENEO SQMT 400
NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NA ANALIPA KODI LAKI TANO KWA MWEZI
LOCATION
UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO UKISHUKA DK 4 KWA MIGUU
UFIKAJI
=======
UKITOKEA KIMARA KOROGWE UNAFIKA PIA UKITOKEA UBUNGO EXSTENO UNAFIKA
SIFA ZAKE
#VYUMBA VITATU VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#FULL A.C
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO
GHARAMA ZA KWENDA KUKAGUA NYUMBA ELFU THELASINI 30,000