3 Bedrooms House for Rent at Wazo, Dar Es Salaam







Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta Wazo
Ina Vyumba 3 vya kulala, kimoja ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni Million 1  Laki  5
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744



















