3 Bedrooms House for Rent at Wazo, Dar Es Salaam



Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta Wazo Msigani
Ina Vyumba vitatu vya kulala, Viwili ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki 350000
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744