3 Bedrooms House for Rent in Kimara, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA INAUZWA – KIMARA SUKA 🏡
Nyumba nzuri inauzwa Kimara Suka, ipo takribani dakika 2 tu kutoka lami (bodaboda 1,000). Inatazama barabara ya mtaa, hivyo ni rahisi kufikika.
🔹 Ina vyumba 3 (kimoja master)
🔹 Sebule + Dining
🔹 Jiko
🔹 Choo cha public
🔸 Nje kuna boy quarter yenye chumba na sebule
📐 Ukubwa wa eneo: Sqm 400
📄 Hati: Sales Agreement (Serikali za Mtaa)
💰 Bei: Milioni 65 (mazungumzo yapo kidogo)
💵 Service charge: 30,000/=
👉 Nyumba iko sehemu nzuri kwa makazi au uwekezaji – unaweza kumalizia finishing chache ukaanza kupangisha na kupata kipato cha uhakika.
📞 Wasiliana sasa: 0688 412 890



















