3 Bedrooms House for sale at Chanika, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA,VYUMBA 3,TSHS.25 MILIONI, CHANIKA-ZINGIZIWA.
WAHI MDAU WANGU.
HII NI BEI YA DHARULA (KUFA KUFAANA)
Usiogope narudia tena Wahi njoo.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3 ( Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________rjMbg