3 Bedrooms House for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


NJOO NA MILIONI 14 TU NIKUUZIE NYUMBA NZURI KIBAMBA KWA MANGI.
__________________
PIGA SIMU 0755831740
SIFA ZA NYUMBA:
✓ VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA.
✓ SEBULE
✓ DINNING ROOM
✓ JIKO
✓ UMEME
________________
✓ PIKIPIKI 1000 TU.
________________
ENEO LAKE LINA UKUBWA WA 20*20
_____________________
✓ BEI NI TSH 14M TU.